How We Banned the Bomb

Jinsi Tulivyopiga Marufuku Bomu

Mnamo tarehe 7 Julai 2017 - kufuatia muongo mmoja wa utetezi wa Kampeni ya Kimataifa ya Kukomesha Silaha za Nyuklia (ICAN) na washirika wake - idadi kubwa ya mataifa duniani yalipitisha makubaliano muhimu ya kimataifa ya kupiga marufuku silaha za nyuklia. Yalianza kutumika tarehe 22...